Britton Hayes na mjomba wake, wote kutoka Seattle, Washington, walikuwa safarini kujionea wanyama katika mbuga ya taifa ya Serengeti nchini Tanzania pale duma huyu alipoanza kuwa mtalii ndani ya gari lao.
Mgeni huyo wasiyemtarajia alikaa ndani ya gari hilo kwa dakika 10 katika eneo la Gol Kopjes la mbuga hiyo, kabla ya mwishowe kuondoka kwenda kuwinda swara.
Britton Hayes anasema walikuwa wamemuangazia duma mmoja aliyekuwa ameruka sehemu ya mbele ya gari lao pale mwingine aliporuka na kuingia kupitia sehemu ya nyuma bila wao kumuona.
“Tulianza kugundua duma hao walikuwa wameanza kuvutiwa na gari letu; lakini hatukuwa na muda wa kuondoka au kutoroka kwa sababu hutaki kuwashtua wanyama hao, ukifanya hivyo ndivyo mambo huenda mrama,” Hayes aliambia jarida la Komo News.
“Nilikuwa nimejawa na wasiwasi sana. Lakini wakati wote nilikuwa nauhisi uhai wangu,” anasema.
3 Comments
Titanium Fat Bike - Kit - The Tithon, USA
ReplyDeleteThe Tithon urban titanium metallic Titanium Bike, created in Italy titanium belly ring under the direction of T.R.B.I. Labs' chi titanium flat irons T.R.B.I. Lab, features of the bike sunscreen with zinc oxide and titanium dioxide design. trekz titanium
j884z8xoxha646 prostate massagers,dog dildo,Bullets And Eggs,dildo,dildo,japanese sex dolls,vibrators,dildos,real dolls e471h0fdivd855
ReplyDeletes338v1staqt154 horse dildo,dog dildo,prostate massagers,horse dildo,wholesale sex toys,silicone sex doll,black dildos,sex chair,dildos t533i9qyuxz680
ReplyDelete