Subscribe Us

header ads

JPM Akamilisha Ziara Mikoa ya Kusini, Atua Dar.......!!!

Rais John Magufuli amewasili jijini hapa jioni ya jana (Jumapili) baada ya kukamilisha ziara ya kikazi ya siku nne katika mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara.

Rais Magufuli amewasili  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JKIA) akitokea Mtwara.

  Mara baada ya kuwasili, Rais Magufuli alipokelewa na viongozi mbalimbali akiwemo Kaimu Mkuu wa Mkoa waDar es Salaam, Hashimu Mgandilwa.


Post a Comment

0 Comments