Subscribe Us

header ads

Wawili wafa kwa ajari jana mjini mbeya.













Vijana wawili walio kuwa kwenye pikipiki aina ya boksa wagonga gari na kufa papo hapo jana mchana muda wa saa tisa mjini Mbeya.
Hata hivyo hawakufahamika kwa haraka majina yao.
Tazama picha hapo juu kuona zaidi.


Popote ulipo tupo.


Post a Comment

1 Comments