Bara la Afrika husifika kwa utajiri wa tamaduni mbalimbali, zipo tamaduni za kufanana baina ya makabila lakini pia kuna tamaduni za kushangaza na kukuacha mdomo wazi.
Je, umewahi kusikia marehemu kutafutiwa mchumba na kuoa? Basi huo ni moja ya utaratibu katika baadhi ya koo za jamii ya Wakuria nchini Tanzania.
Marehemu anaoa vipi? Munira Hussein anaarifu zaidi.
0 Comments